08
Apr

Je, David Owuor ni nabii wa ukweli au wa uongo? Sehemu ya Kwanza (Part 1)

David Owuor ni mtu anayedai kuwa nabii wa kipekee. Ana huduma inyoitwa Ministry of Repentance and Holiness, anayoiendesha katika taifa la Kenya. Owuor amepata umaarufu na kuvuma nchini kote kwa kujitambulisha kama Nabii Mkuu Zaidi wa Yehova. Pia, amedai kuwa yeye ndiye nabii wa mwisho atakayetangulia kurudi kwa Bwana Yesu ulimwenguni, na hivyo kanisa linafaa kusikiza ujumbe wake muhimu wa toba na utakatifu. Kama Owuor ndiye nabii wa kipekee wa mwisho, inafaa kanisa limsikize kwa makini. Lakini yafaa tuchunguze madai yake kama ni ya kweli kutoka kwa Biblia. Katika video hii, Joe Thwagi wa ACFAR Kenya, anachunguza zaidi madai ya Owuor na kuyalinganisha na ukweli wa Biblia.
Sehemu ya Pili (Part 2) https://youtu.be/r-QAdKrvsls

You are donating to : Greennature Foundation

How much would you like to donate?
$10 $20 $30
Would you like to make regular donations? I would like to make donation(s)
How many times would you like this to recur? (including this payment) *
Name *
Last Name *
Email *
Phone
Address
Additional Note
paypalstripe
Loading...